Msaada wa kisaikolojia kwa jamii- Shirika la Msalaba Mwekundu
Shirika la Msalaba Mwekundu la Kenya
Sasisho la Mwisho: 10/8/2023
Maelezo
Msaada wa kisaikolojia kwa jamii:
- Ushauri wa moja kwa moja
- Ushauri wa kikundi
- Ushauri wa familia
- Msaada wa kihisia
- Huduma za wanasaikolojia
- Makundi ya watu wenye nia ya kusaidiana kisaikolojia au kimawazo
- Utatuaji wa migogoro katika jamii
- Maeneo salama na ya faragha kwa huduma za waathiriwa wa dhuluma au vurugu
- Kufuatilia hali ya wanaohudumiwa na shirika
Vigezo vya kustahiki huduma za KCRS
- Huduma ndani ya vifaa vya KRCS hazihitaji kuwepo kwa hati yoyote..
- Huduma zinazohitaji rufaa nje ya Dadaab zinaruhusiwa tu kwa wakimbizi waliosajiliwa na UNHCR
Namna ya kufikiwa wakati wa kupokea huduma
- Wakalimani wa kike wanapatikana kwa lugha zifuatazo: Kisomali, Kisudani, Kigambela cha Kongo na Kiethiopia
- Lugha: Kisomali, Kisudani, Kikongo Gambela na Kiethiopia
- Washauri wa kike wanapatikana kwa usaidizi
- Huduma za wanawake pekee ni kama vile ukunga, uchunguzi wa saratani ya kizazi, MARPs
- Chumba cha maombi