Imesasishwa saa: 2023/02/16
Huduma za afya kwa ujumla
- Huduma ya dharura
- Matibabu ya kutoka kwa daktari wa afya
- Barua za rufaa kwa huduma maalum
- Daktari wa meno (rufaa inahitajika)
- Daktari wa macho (rufaa inahitajika)
- Daktari wauzazi -wanawake (rufaa inahitajika)
- Mkunga
- Daktari wa watoto (rufaa inahitajika)
- Chanjo za watoto na watu wazima
- Huduma za matibabu kwa waathirika wa dhuluma za jinsia
- Dawa za kuzuia mimba na mambukizi ya dharura
- Agizo za dawa katika matibabu
Vipimo vya matibabu
- Kupima virusi vya Ukimwi
- Uchunguzi wa homa ya ini (Hepatitis)
Vigezo vya kustahiki huduma
- Huduma zinazotolewa kwa anawake pekee ni kama usaidizi wakunga, uchunguzi wa saratani ya njia ya kizazi.
- Madaktari wa kike wanapatikana kwenye vituo
- Huduma hutolewa kwa watu binafsi wa LGBTQI+ katika Kliniki ya MARPs
Namna ya kufikia huduma
- KRCS ina nafasi salama inayotumiwa kuhudumia mtu mmoja baada ya mwingine.
- Inaruhusiwa kurejelea huduma ili kuhakikisha umepokea usaidizi unaokufaa
- Wakalimani wa kike wanapatikana kwa lugha ya Kisomali, Kisudani, Kigambela cha Kongo na Kiethiopia
- Lugha: Kisomali, Kisudani, Kikongo Gambela na Kiethiopia
- Mkalimani ataandamana nawe hadi kwenye vituo vya huduma zingine
- Ufafanuzi unapatikana kwa simu ili kukusaidia kuwasiliana na watoa huduma wengine
Fungua 24/7.
Maelezo ya Mawasiliano
email: info@redcross.or.ke
phone: 254110483063
website: https://www.redcross.or.ke
whatsapp: 254110483063
Anwani
IFO 2 Camp Dadaab Subcounty, Dadaab Ward in Garissa County