Imesasishwa saa: 2021/06/07

Huduma 

1.      Ombi na utoaji wa vyeti vya usajili vya vikundi vya kujisaidia, Pamoja na Mashirika ya Mjini ya Kuhifadhi hela na mikopo 

2.      Kusajili upya kila mwaka kwa vikundi vya kujisaidia, Pamoja na Mashirika ya Mjini ya Kuhifadhi hela na mikopo 

 

Mahitaji ya Ustahiki  

·        Hauhitajiki kutuma ombi ya kuskizwa 

·        Ustahiki unabadilika kulingana na huduma 

·        Pendekezo la jina la Kikundi 

·        Ada ya usajili ni shilingi elfu moja 

·        Fomu ya usajili iliyojazwa na stampu ya chifu wa eneo ukaoishi 

·        Dakika ya mikutano za kikundi zinazotafuta usajili

·        Katiba au sheria za kikundi 

·        Orodha ya wanachama,naMBari za kitambulisho,nambari za sim una sahihi zao 

·        Nakala za vitambulisho vya wanachama 

·        Nakala tatu za kila stakabadhi 

·        Faili mbili 

·        Vikundi vilivyosajiliwa vinapaswa kuwasilisha ripoti kila baada ya miezi mitatu na 

kupeana stakabadhi za chama wakati mashirika simamizi yataitisha stakabadhi hizo. 

 

Huduma hizi zinahitaji ada 

·        Usajili wa vikundi vikundi vya kujisaidia, pamoja na mashirika ya Mjini ya kuhifadhi     hela na mikopo 

·        Usajili upya wa cheti kila mwaka 

 

Lugha zinazotumika 

Huduma zinapatikana katika lugha za kiswahili na kizungu 

 

Nambari na Jinsi ya kupokea huduma 

• Simu : +2540202723011 

• Laini isiyo na malipo: 1533 

•Barua pepe- info@socialprotection.or.ke 

• Piga ripoti kwa -Ofisi ya kitaifa ya Ulinzi wa Kijamii, Nairobi Jengo la ACK Parking Silo orofa ya tisa barabara ya Bishop  

• Afisi au chifu ama kaimu chifu. 

• Afisa wa kaunti wa maendeleo ya jamii au Afisa wa kaunti ndogo/wilaya wa maendeleo ya jamii 

• Kaunti Afisa wa watoto/ Afisa wa kaunti ndogo wa watoto 

• Kupitia Kamati ya Ustawi wa Wanufaika katika ngazi za mitaa 

• Kupitia ofisi za programu husika katika Idara ya Maendeleo ya Jamii makao makuu jijini Nairobi, Nyumba ya Usalama wa Jamii, Zuia "A" Mrengo wa Mashariki, Barabara ya Bishop, Milimani 

Kufungua Saa

Jumatatu kufungua kutoka 08:00 AM kwa 05:00 PM

Jumanne kufungua kutoka 08:00 AM kwa 05:00 PM

Jumatano kufungua kutoka 08:00 AM kwa 05:00 PM

Alhamisi kufungua kutoka 08:00 AM kwa 05:00 PM

Ijumaa kufungua kutoka 08:00 AM kwa 05:00 PM

Anwani

Ngong Township, Kenya