Imesasishwa saa: 2021/06/25
Huduma
Msaada kwa waathirika wa mateso
Msaada kwa waathirika wa usafirishaji haramu wa binadamu na utumwa
Msaada kwa waathirika wa ubaguzi
Mahitaji ya Ustahiki
Huduma zote zilizoorodheshwa hutolewa bure
Huduma hutolewa kwa wakimbizi, wanaotafuta hifadhi na walionyanyaswa kijinsia na ngono
Mikutano hupangwa wakati wa masaa ya kazi na siku za kazi, Jumatatu hadi Ijumaa, Saa 2 asubuhi hadi Saa 11 jioni - Kesi za dharura ambazo hutokea nje ya masaa rasmi ya ofisi huzingatiwa.
Upatikanaji wa Huduma
Huduma hupatikana pia kwa kupiga simu kwa nambari 0703848641.
Simu zinaweza kupigwa baada ya masaa ya kazi, kwa kesi za dharura.
Kwa sababu ya ugonjwa wa COVID 19, huduma za kisheria na za ushauri hufanywa kwa mikutano iliyopangwa kwa kupiga simu kwa nambari za RCK.
Huduma zinapatikana bila rufaa.
Huduma za nambari ya usaidizi -– 0703848641 – zinazotolewa ni pamoja na ushauri
Wa kiakili na wa kijumla.
Nafasi salama na iliyotengwa kwa ushauri wa ana kwa ana
Kuangaliwa muda kwa muda ili kuhakikisha kuwa umepata msaada unaohitaji
Tafsiri za lugha za Oromo, Somali, Sudan Kusini, Kiingereza, na Kiswahili zinapatikana kila wakati katika ofisi yetu.
Huduma zinapatikana katika lugha zifuatazo kwa tafsiri ya simu - Kioromo, Somali, Sudan Kusini, Kiingereza na lugha za Kiswahili.
Watafsiri wa kike wanapatikana
Kiingilio cha pahali hapa kina njia panda
Pahala hapa pana wafanyikazi wa kike
Huduma zote zilizo orodheshwa zinatolewa bure
Huduma zinapatikana Jumatatu hadi Ijumaa: Saa 2 asubuhi – Saa 11 jioni.
Ofisi zinafungwa siku za sikukuu za umma
Utaratibu wa kutoa maoni na muda wa kujibu
Simu, barua pepe, ana kwa ana.
Haraka iwezekanavyo
Kufungua Saa
Jumatatu kufungua kutoka 08:00 AM kwa 05:00 PM
Jumanne kufungua kutoka 08:00 AM kwa 05:00 PM
Jumatano kufungua kutoka 08:00 AM kwa 05:00 PM
Alhamisi kufungua kutoka 08:00 AM kwa 05:00 PM
Ijumaa kufungua kutoka 08:00 AM kwa 05:00 PM
Anwani
Dadaab Office, Hagadera camp