Imesasishwa saa: 2021/06/25
Huduma
Ushauri wa kisheria
Uwakilishi katika mahakama na vituo vya polisi
Msaada wa kuomba vibali vya kazi na leseni
Uwakilishi katika kesi za dhuluma za kijinsia na ngono
Habari kuhusu haki zako
Habari kuhusu utaratibu wa kuomba hifadhi nchini Kenya
Usaidizi wa kujaza hati za kisheria
Kusindikizwa kwa mikutano ya kisheria au kiutawala kwa maswala yanayohusiana na uhamiaji, dhuluma ya kijinsia na ngono, na Watoto
Usaidizi wa kujitayarisha kwa mahojiano ya kuomba hifadhi nchini
Uwakilishi wa kisheria katika korti na vituo vya polisi
kesi za jinai
Vyeti vya kuzaliwa, kifo na vyeti vingine vya kibinafsi
Migogoro ya familia
Huduma za kisheria kwa waathiriwa wa vita
Huduma za kisheria kwa waliotiwa mbaroni
Huduma za kisheria kwa wasio raia wan chi yoyote
Rufaa kwa wanasheria
Mahitaji ya Ustahiki
Huduma zote zilizoorodheshwa hutolewa bure
Huduma hutolewa kwa wakimbizi, wanaotafuta hifadhi na walionyanyaswa kijinsia na ngono
Upatikanaji wa Huduma
Huduma zinapatikana pia kupitia nambari za usaidizi za bure 0800720262 na 0701414978. Simu zinaweza kupigwa baada ya masaa za kazi, kwa kesi za dharura.
Kwa sababu ya ugonjwa wa COVID 19, ushauri wa kisheria unatolewa kwa mkutano uliopangwa kwa kupiga simu kwa nambari za usaidizi ama kwa kuzungumza na Msimamizi wa Ulinzi (Protection Monitor ) wa RCK. Mkutano unaweza kupangwa kibinafsi wakati wa masaa ya kazi Saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni Jumatatu hadi Ijumaa, kwa njia ya simu wakati wa masaa ya kazi Saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni Jumatatu hadi Ijumaa,, kwa njia ya barua pepe info@rckkenya.org, ama kwa kupiga simu kwa nambari +254 700865559. Huduma inapatikana bila rufaa.
Tafsiri za lugha za Oromo, Somali, Sudan Kusini, Kiingereza, na Kiswahili zinapatikana kila wakati katika ofisi yetu.
Huduma zinapatikana katika lugha zifuatazo kwa tafsiri ya simu - Kioromo, Somali, Sudan Kusini, Kiingereza na lugha za Kiswahili.
Watafsiri wa kike wanapatikana
Kiingilio cha pahali hapa kina njia panda
Pahala hapa pana wafanyikazi wa kike
Huduma zinapatikana Jumatatu hadi Ijumaa, Saa 2 asubuhi hadi Saa 5 jioni kupitia nambari za usaidizi. Jumatatu hadi Alhamisi katika ofisi ya RCK kwenye kiwanja cha LWF na ofisi ya RCK Kalobeyei. Alhamisi katika ofisi ya RCK huko Kakuma. Huduma hii hufungwa siku za sikukuu za umma. Huduma hii haipatikani wakati wa sikukuu za umma. Hata hivyo, hii inategemea jinsi kesi zilivyo. Kwa mfano, hali za dharura zinaweza kutokea.
Njia ya wakati wa kutoa maoni
Barua pepe, simu, mkutano mtandaoni, ama mkutano wa ana kwa ana.
Majibu yanatolewa haraka iwezekanzavyo.
Anwani
RCK office at LWF Compound. RCK office Kalobeyei, next to the UNHCR field post in Kalobeyei. RCK office in Kakuma 4, opposite Kakuma 4 Police Post.