Imesasishwa saa: 2021/06/25
Huduma
Habari kuhusu kuishi Kenya
Habari kuhusu huduma za mitaa
Habari kuhusu njia na mahala pa kupata hati kama vile kibali cha kufanya kazi, leseni ya udereva, nk
Usaidizi Kufanya upya hati
Mkalimani atakwenda na wewe kukusaidia kupata huduma za umma
Mahitaji ya Ustahiki
Huduma zote zilizoorodheshwa hutolewa bure
Huduma hutolewa kwa wakimbizi, wanaotafuta hifadhi na walionyanyaswa kijinsia (
Upatikanaji
Huduma zinapatikana pia kupitia nambari za usaidizi za bure 0800720262 na 0701414978
Unaweza kupiga simu baada ya masaa ya kazi, kwa kesi za dharura. Kwa sababu ya ugonjwa wa COVID 19, ushauri wa kisheria hufanywa kwa mkutano uliopangwa kwa kupiga simu kwa nambari za msaada au kwa kuzungumza na Mfuatilizi wa Ulinzi (Protection Monitor) wa RCK.
Mikutano inaweza kupangwa kibinafsi ukija ofisini wakati wa masaa ya kazi Saa 2 asubhi – Saa 11 jioni Jumatatu hadi Ijumaa, kwa simu wakati wa masaa ya kazi Saa 2 asubhi – Saa 11 jioni Jumatatu hadi Ijumaa, kwa barua pepe info @ rckkenya .org, au kwa Kupiga simu +254 700865559.
Huduma zinapatikana bila rufaa.
Tafsiri za lugha za Oromo, Somali, Sudan Kusini, Kiingereza, na Kiswahili zinapatikana kila wakati katika ofisi yetu.
Huduma zinapatikana katika lugha zifuatazo kwa tafsiri ya simu - Kioromo, Somali, Sudan Kusini, Kiingereza na lugha za Kiswahili.
Watafsiri wa kike wanapatikana
Kiingilio cha pahali hapa kina njia panda
Kiingilio cha pahali hapa kina njia panda
Pahala hapa pana wafanyikazi wa kike
Huduma zote zilizoorodheshwa hutolewa bure
Huduma zinatolewa Jumatatu hadi Ijumaa, Saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni kwa nambari za dharura., Jumatatu hadi Ijumaa katika ofisi ya RCK iliyo LWF na ofisi ya RCK iliyo Kalobeyei. Alhamisi katika ofisi ya RCK mjini Kakuma.
Huduma hii haipatikani wakati wa sikukuu za umma. Hata hivyo, hii inategemea jinsi kesi zilivyo. Kwa mfano, hali za dharura zinaweza kutokea.
Njia ya wakati wa kutoa maoni
Barua pepe, simu, mkutano mtandaoni, ama mkutano wa ana kwa ana.
Majibu yanatolewa haraka iwezekanzavyo.
Anwani
RCK office at LWF Compound. RCK office Kalobeyei, next to the UNHCR field post in Kalobeyei. RCK office in Kakuma 4, opposite Kakuma 4 Police Post.