Imesasishwa saa: 2023/08/28
Huduma Zinazotolewa
- Maelezo kuhusu haki zako
- Maelezo kuhusu jinsi ya kutafuta hifadhi katika nchi yako
- Mshauri wa kisheria
- Kusaidia kujaza fomu za kisheria
- Kuandamana na wewe kwenye mikutano ya kisheria au ya utawala
- Kusaidia kujiandaa kwa mahojiano ya hifadhi
- Uwakilishi wa kisheria
- Kukata rufaa dhidi ya maamuzi hasi kuhusu maombi yako ya hifadhi
- Kesi za jinai
- Kesi za kiraia
- Mizozo ya kifamilia, taratibu za talaka
- Msaada katika kesi za kuunganisha familia
- Huduma za kisheria kwa kesi za ubaguzi
- Huduma za kisheria kwa wahanga wa ukatili
- Huduma za kisheria kwa watu waliozuiliwa
- Huduma za kisheria kwa watu wasio na uraia
- Marejeo kwa mawakili
- Kusaidia kuomba hati za kusafiri
Vigezo vya kuhitimu
- Wateja wote wanapaswa kuwa wakimbizi/watafuta hifadhi
Jinsi ya kufikiwa
- Nafasi salama na ya faragha kwa ushauri binafsi
- Ufuatiliaji wa mara kwa mara ili kuhakikisha unapata msaada unaohitaji.
- Mhudumu wa tafsiri atakuandamana kwenda kwa watoa huduma wengine
- Tafsiri inapatikana kupitia simu ili kukusaidia kuwasiliana na watoa huduma wengine
- Tafsiri zinapatikana kwa lugha zifuatazo: Kisomali, KiOromo, KiDinka, KiNuer, KiAmhara, Kiswahili, Kiingereza
- Wahudumu wa kike wapo kwa ajili ya lugha zilizotajwa hapo juu
- Hakuna huduma ya lugha ya ishara inapatikana
- Mlango wa kuingia katika eneo hili una njia ya kupandia
- Eno hili lina wafanyakazi wa kike
Siku na wakati wa ufikiaji
- Jumatatu-ijumaa :8am-5pm
- Muda wa kutoa maoni: Chini ya masaa 24
- Nambari ya usaidizi: 0700865559
Mahali pa muda wanakopatikana RCK: Ofisi za HI-Kambi ya IFO 2
Maelezo ya Mawasiliano
phone: 254703848641
phone: 254705862534
twitter: https://twitter.com/RCKKenya
website: https://www.rckkenya.org/
0.0467459
40.3019466