Usaidizi wa kisheria bila malipo kwa waathirika wa dhuluma ya kijinsia Dadaab na Kakuma

Katika kambi ya Dadaab na Kakuma, waathiriwa wa dhuluma ya kijinsia wanaweza kupata usaidizi wa kisheria bila malipo.

Waathiriwa wa uunyanyasaji wa kijinsia wanaruhusiwa kuchagua kuripoti au kutoripoti aina yoyote ya dhuluma dhidi yao. Ni muhimu sana kwa aliyenusurika kuwa na uwezo wa uthibitisha tukio la kushambuliwa au kudhulumiwa  wakati  anapochagua kuchukua hatua za kisheria dhidi ya aliyemkosea. Jifunze zaidi kuhusu aina za dhuluma ya kijinsia.

Katika makala haya, tunatoa maelezo muhimu yanayoweza kumsaidia aliyenusurika katika kambi  za   Kakuma na Dadaab katika kutafuta haki. Kwa kusoma makala haya, utaelewa hatua muhimu katika uwekaji kumbukumbu na jukumu ambalo kila mshikadau anatekeleza wakati waathiriwa wa dhuluma ya kijinsia wanatafuta usaidizi wa kisheria.

mceclip0.png

Mchoro wenye mambo 7 yakutoausaidizidhidiyaukatiliwakijinsia- Hisani: Julisha.Info

 

Kukusanya Ushahidi

Kukusanyaushahidiwamajerahanakukusanyasampulikama vile damu, nywele, mate nakadhalikandaniyamasaa 72 baadayatukio, kunaweza toa maelezoyaaliyenusurikakuhusukilekilichotokea. Ushahidi huuhusaidiakutambuawahalifu.

Aliyenusurikahapswikuoga au kufuanguozake. Nguozilizovaliwawakatitendo la dhulumalilitendekazinapaswakuwekwakwenyebegi (siomfukowaplastiki) au kufunikwakwenyegazeti, hiiitazuiaukuajiwabakteriaambazozinawezakuharibuushahidi

Nyaraka zinazosaidia waathirika wakati wa kutafuta haki

Kuna nyaraka muhimu ambazo aliyenusurika anapaswa kuwa nazo katika hatua mbalimbali za kuchukua hatua za kisheria dhidi ya dhuluma ya kijinsia. Nyaraka za kwanza huanza kurekodiwa wakati wa kutafuta huduma ya matibabu. Unaweza kujifunza zaidi kuhusu huduma ya matibabu bila malipo kwa waathiriwa wa ukatili kwa hapa.

  1. Fomu za hudumayabaadayaubakaji (PRC1)

Hati hii inaweza kupatikana katika kituo cha afya ambapo aliyenusurika atakuwa ametafuta matibabu. Afisa wa afya anayemchunguza aliyenusurika atatoa na kusaidia kujaza fomu ya Huduma ya baada ya ubakaji (PRC1 Form). Fomu ya PRC1 inajazwa mara  tatu, kumaanisha kuwa itakuwa na nakala 3:

  • Fomu halisi (nakala nyeupe) inatolewa kwa polisi na itawasilishwa mahakamani kama ushahidi.
  • Nakala ya pili (nakala ya njano) inatolewa kwa aliyenusurika.
  • Toleo la tatu la fomu (nakala ya kijani) inasalia hospitalini kwa uhifadhi wa kumbukumbu.

Maelezo katika fomu ya PRC1 yatasaidia kujaza fomu ya Muhtasari wa Polisi P3 (iliyojadiliwa hapa chini) wakati aliyenusurika anapochukua hatua za kisheria dhidi ya mnyanyasaji.

 

Zaidi ya kujaza fomu ya PRC1, mhudumu wa afya atahakikisha kuwa aliyenusurika  ana mahali salama pa kwenda. Ufuatiliaji wa utunzaji wa matibabu na kisaikolojia utatolewa. Tumetoa orodha ya vituo vya afya ambapo unaweza kutembelea katika kambi za  zaKakuma na Dadaab kwa ajili ya matibabu katika sehemu ya baadaye ya makala haya.

  1. Muhtasariwapolisi – fomuya P3

Fomu ya P3 inatayarishwa katika kituo cha polisi. Inatumika kuomba ripoti ya matibabu inayoonyesha hali ya majeraha au madhara yalisababishwa na mnyanyasaji. Tumejadili zaidi kwa nini mwathirika anahitaji hati hii katika hatua ya 2 hapa chini.

Taratibu za kutafuta hatua za kisheria

Usaidizi wa kisheria hutolewa ili kukuza au kusaidia wanusurika kujua haki zao, kudai haki zao za kisheria na kufanya maamuzi sahihi kuhusiana na kutafuta haki. Tutatoa tu taarifa kuhusu kuripoti sahihi kwa polisi na sio uchunguzi au mchakato wa mahakama.

Mara baada ya aliyesnusurika kutafuta matibabu, anahimizwa kuripoti katika kituo cha polisi kilicho karibu naye. Hii ni hatua muhimu na inaweza tu kuanzishwa na aliyenusurika katika shambulio hilo au mtu yeyote katika jamii, hasa pale ambapo aliyenusurika ni mtoto.

  • Hatua ya kwanza 

huenda kituo cha polisi kuripoti.  Aliyenusurika huripoti kwa dawati la jinsia au afisa wa jinsia katika kituo cha polisi kilicho karibu naye. Polisi wataandika maelezo ya ripoti katika kitabu cha matukio (O.B.) na kutoa nambari ya O.B. Vituo vingi vya polisi nchini Kenya vina Madawati ya Jinsia yanayoshughulikia kesi za dhuluma ya kijinsia. Mahali ambapo hakuna madawati ya jinsia, kuna maafisa wanaoshughulikia kesi za dhuluma ya kijinsia. Mtu aliyenusurika anaweza kuchagua kuandamana na mtu anayemwamini au shahidi anaporipoti kwa polisi.

 

Katika dawati la jinsia, afisa wa polisi atakusaidia kuandika taarifa kueleza kilichotokea. Utahitaji kusaini taarifa ili kuonyesha kuwa ni maelezo ya kweli na sahihi ya kile kilichotokea. Tia saini lako tu kwenye taarifa hiyo ikiwa unaelewa na kukubaliana na kile kilichoandikwa ndani yake. Ikiwa kulikuwa na shahidi wa tukio hilo, wanafaa kutoa  maelezo yao pia.

  • Hatua ya pili  

Hatua ya pili muhimu ni usindikaji wa fomu ya Muhtasari wa Polisi P3. Polisi watajaza kwa sehemu fomu ya P3, ambayo ni ombi la ripoti ya uchunguzi wa kimatibabu. Fomu ya P3 hutumiwa na polisi kuomba uchunguzi wa kimatibabu kutoka kwa afisa wa afya ili kuonyesha asili na kiwango cha majeraha aliyopata aliyenusurika. 

Ikiwa umeenda hospitalini kabla ya kwenda kituo cha polisi, hospitali itarahisisha ujazaji wa fomu za P3 na PRC ambazo utahitaji kuwasilisha kwa polisi. Ikiwa hujaenda hospitalini, utahitaji kwenda hospitali na fomu ya P3, ambayo itajazwa na daktari au afisa wa kliniki. Unaweza kupata fomu ya P3 kutoka kituo cha polisi au unaweza kuipakua  hapa kwenye mtandao bila malipo.

Iwapo aliyenusurika ataenda kwenye kituo ca polisi kwanza  kuripoti tukio la dhuluma ya kijinsia, ataelekezwa kwenye kituo kinachowasaididia wanusurika wa dhuluma za kijinsia au hospitali kwa usaidizi wa kimatibabu. Mara tu unapopokea usaidizi wa kimatibabu, utahitajika kurejesha fomu halisi ya P3 iliyojazwa kikamilifu kwenye kituo cha polisi ambapo ulitoa ripoti kwa hatua zaidi za polisi kwa ajili ya kuongezwa kwa fomu ya P3 kwenye faili yako ya kesi na kuingia kwenye fomu ya PRC.

 

Ni wapiunapowezakupatausaidizizaidibaadayakuripotikwapolisi?

Shirika la Refugee Consortium of Kenya (RCK) linatoa usaidizi wa kisheria unaojumuisha kuskiza kesi mahakamani na ushauri wa kisheria kuhusu kesi za dhuluma ya kijinsia huko Nairobi, Kakuma na Dadaab. Unaweza kuwasiliana nao kupitia nambari zilizo hapa chini.

 

Vituo vya afya vilivyopo Kakuma vinavyotoa msaada wa matibabu

 

KITUO CHA AFYA

MAHALI INAYOPATIKANA

Kaapoka Health Centre / Main Hospital  

 Kakuma 1  

Lochangamor Dispensary / Clinic 4  

 Kakuma 1  

 Hong-Kong Dispensary / Clinic 2  

 Kakuma 2  

Nalemsekon Dispensary/ Clinic 5  

 Kakuma 2  

Nationokor Dispensary / Clinic 6  

 Kakuma 3  

Ammusait General Hospital /IRC General Hospital  

 Kakuma 4  

Natukubenyo Health Center / Kalobeyei Health Centre  

 Kalobeyei Village 1  

Naregae Dispensary/ Kalobeyei Village 2 Clinic  

 Kalobeyei Village 2  

 

Vituovyaafya Dadaab 

 

KITUO CHA AFYA

MAHALI INAYOPATIKANA

 Kenya Red Cross  

 Ifo Camp    

 Medecins Sans Frontieres (MSF) Hospital  

Dagahaley Camp  

 IRC main Hospital/ Hagadera Refugee camp hospital  

Hagadera refugee camp  

 Health post E6  

Hagadera Camp  

 Health post L6  

Hagadera Camp  

 Dadaab Sub- County Hospital 

 Dadaab 

 

Simu rasmi za kitaifa

NambariyasimuyakitaifayaUnyanyasajiwaKijinsiainayopigwabilamalipo, 1195. Nambariyasimuyakitaifayakuripotiunyanyasajiwakijinsiaimeunganishwanavituovyaafyavinavyotoamatibabukwawaathiriwawaunyanyasajiwakijinsia, msaadawakisherianavituovyauokoaji.Hutatozwapesayoyoteukipigasimukwenyelainihii.

  1. Nambariyasimuyakitaifayamsaadakwa watoto,116 : Simu yamsaadakwa Watoto nijukwaa la siri la kuripotiambalolinawezakufikiwana Watoto nawatuwazimaambaowametambua au kushuhudiaukatilidhidiya Watoto. Wahudumukwenyelainihiihutoaushauriwa ana kwa ana nakuunganishawatotonahuduma za usaidizizilizokaribunao.  

Nambari za dharuraunazowezapigakukitokeakesi za unyanyasajiwakijinsiakambini.

 

Assistance

Kakuma Refugee Camp

Dadaab Refugee Camp

Medical 

International Rescue Committee (IRC)   

 

Laini yakupigakukitokeakisa cha ukatiliwakijinsia: 0702572024

International Rescue Committee (IRC)   

 

Laini ya visa vyakijinsia : 0708516530, WhatsApp

Psycho-social support (Counselling)

Danish Refugee Council 

 

Laini ya bure: 0800720414,

International Rescue Committee (IRC)    

 

Laini ya visa vyakijinsia: 0708516530, na pia WhatsApp

Legal

Refugee Consortium of Kenya (RCK)   

 

 

Laini ya bure: 0800720262 

Nambariyasimu:  070141497

Refugee Consortium of Kenya (RCK)

 

 

Nambariyasimu: 0703848641 

 

 

Ukiwanamaswaliyoyote, unawezakuwasiliana nasi kupitiaukurasawetuwaFacebook ama WhatsApp (+254110601820)Jumatatuhadiijumaakutoka 08:00 asubuhihadi 5:00 jioni